Monday, April 29, 2019

I Love You (Ninakupenda)

I LOVE YOU!

I love you like the last meat in the pot,
Yaani ninakupenda kuliko mchaga na noti.

I love you more than a public holiday that falls on a Friday,
Yaani ninakupenda kama pilau ambayo nyama zake zilikatwa na Mmasai.

I love you like summer in California,
Yaani ninakupenda kuliko Mngoni na bamia.

I love you more than a fat kid loves cake,
Yaani ninakupenda kama mpare na picha ya samaki.

I love you like Cubans and rhumba,
Yaani ninakupenda kuliko ndizi bukoba kwangu hutoisoma namba.

I love you more than twilight,
Yaani ninakupenda kama Msukuma na kalikiti.

I love you like fish’s dependance on water,
Yaani ninakupenda kuliko Mura na vita.

I love you more than a woodpecker loves timber,
Yaani ninakupenda kama urojo na Mpemba.

I love you like Carl loved Ellie,
Yaani ninakupenda kuliko Mjaluo na ngeli.

And I have to add this hun,

I love you more than Kanye loves Kanye,
Yaani ninakupenda kama Njugush na Wakavinye.

Wasalaam,

Mentor.

No comments:

Post a Comment